Yaah wanalipwa posho za kujikimu kulingana na mazingira waliyopo.Na kwa Africa hili jambo huleta migogoro sana mpaka kufikia wachezaji kugoma baada ya kulimbikiziwa posho zao kwa muda mrefu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.