Mkuu Kuna viwango tofauti kulingana na nchi husika, viwango vya ubora vipo vya juu,Kati na kawaida/chini... International Standard Organization ISO imewe na kulezea viwango tofauti*2 vya ubora kulingana na bidhaa.... Hivyo basi Kuna bidhaaa nyingi tu ambazo Ni za kiwango Cha ubora wa kawida/chini au Kati ambavyo ninafaa kabisa kwa matumizi lakini vikienda ulaya vikataliwa maana wao wanatumia viwango vya ubora vya European Union Standards ambazo niza sawa na zile za ISO ya juu kabisa...
Sijuka Kama nimejitahidi kueleweka....
Sent using
Jamii Forums mobile app