Swali kuhusu vijana wetu wa Serengeti Boys

Majan

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
1,255
1,783
Habari wakuu?
Hivi wale vijana wetu watimu ya Serengeti Boys ambao kwasasa wanaendelea kufanya vyema huko Nchini Gabon kwene mashindano ya AFCON je wanasoma mana umri wao bado Mdogo wakuendelea namasomo ila binafsi nashindwa kuelewa kama wangali wapo masomoni ama La, nakama wangali kwene masomo je kwakipindi hiki ambacho hawapo nchini kwamuda wamiezi kazaa inakuaje kuhusu masomo yao hususani ngazi yasecondary.?
 
Yani wewe kma sio mchagga basi Ni mnyambo maana hayo makabila kwa kuuwa vpaji kwa kusingizia shule,hawajambo...nahisi ningelikomboa soka la bongo kma sio wazazi..!!all is good anyways..!!
 
Yani wewe kma sio mchagga basi Ni mnyambo maana hayo makabila kwa kuuwa vpaji kwa kusingizia shule,hawajambo...nahisi ningelikomboa soka la bongo kma sio wazazi..!!all is good anyways..!!
Aisee...
 
Hivi kusoma na kucheza mpira wa kulipwa ipi inalipa sana, wacha mawazo ya kizamani we mzee
Makonda mwenyewe aliiba cheti na kule Moshi akawa analala wenzie wakisoma, lakini Leo anawaambia wataalamu wa Ardhj kuwa anatamani kuwachapa viboko.
Kwa nchi hii elimu imeanza kuwa sio jambo LA msingi tena maana haiheshimiwi
 
kama wanajua kusoma na kuandika tu bas inatosha, sababu watakuwa wame meet sifa ya kuwa hata mawazir au wakuu wa mikoa wa baadae ,, ,,, sababu sifa ya kuwa wazir au mkuu wa mkoa hapa bongo ni kujua kusoma na kuandika
 
Habari wakuu?
Hivi wale vijana wetu watimu ya Serengeti Boys ambao kwasasa wanaendelea kufanya vyema huko Nchini Gabon kwene mashindano ya AFCON je wanasoma mana umri wao bado Mdogo wakuendelea namasomo ila binafsi nashindwa kuelewa kama wangali wapo masomoni ama La, nakama wangali kwene masomo je kwakipindi hiki ambacho hawapo nchini kwamuda wamiezi kazaa inakuaje kuhusu masomo yao hususani ngazi yasecondary.?
Swali zuri sana
 
Hahahaha kwa kweli! Awape hongera zao tu jamani....uwivu tu umetanda kichwani!
Pongezi za dhati nimezitanguliza juu yao kwakutuwakilisha vyema na wala sina wivu wowote juu yao mana wale sio simba nayanga wale nivijana wetu wanaliwakilisha Taifa na wamekua mabarozi wetu wazuri
 
Back
Top Bottom