Hebrew JF-Expert Member Joined Jul 3, 2008 Posts 562 Reaction score 171 Mar 6, 2012 #1 Nimesikia kuwa TRA wanachaji full ushuru wa magari ya PERSONAL EFFECT yaliyozidi zaidi ya miaka kumi. Nijuavyo mimi ni kuwa unalipa tu kodi ya uchakavu. Naomba watu wenye taarifa kamili watujulishe kama hii ni kweli. Natanguliza shukrani
Nimesikia kuwa TRA wanachaji full ushuru wa magari ya PERSONAL EFFECT yaliyozidi zaidi ya miaka kumi. Nijuavyo mimi ni kuwa unalipa tu kodi ya uchakavu. Naomba watu wenye taarifa kamili watujulishe kama hii ni kweli. Natanguliza shukrani
K Kacharimbe JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 216 Reaction score 35 Mar 6, 2012 #2 Unless kama sijui maana ya neno personal effect ila nijuavyo mimi pamoja na kulipa uchakavu utalipa na kodi zote yaani import duty, excise duty na VAT
Unless kama sijui maana ya neno personal effect ila nijuavyo mimi pamoja na kulipa uchakavu utalipa na kodi zote yaani import duty, excise duty na VAT