Swali kuhusu hisa za precision air | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kuhusu hisa za precision air

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BARRY, Oct 16, 2011.

 1. B

  BARRY JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Jamani nimeona net cash flow ya hii company kuwa ni negative miaka yote. Inawezekana madeni ni makubwa. Je hisa zao zawezalipa kweli au ni kulipia madeni tu...naomba msaada kitaalama
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kuna wakili mmoja mjini naye alikuwa anauliza swali!!Yeye aliuliza are these people serious?wanataka kuchukua fedha kulipia madeni yao kwa kupatia wenye hisa baadae kitu kama 2. Something hivi!!
  Mimi nionavyo,watu wanatakiwa wachunguze kwanza kabla ya kukimbilia hizo hisa wangefanya utafiti wajue undani wa kampuni kabla ya kuja kulalamika baadae!!
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi nafuatiliaga sana ila kuna m2 ni accountant amesoma hayo mavitabu yao akanishauri nisinunue hazitalipa sa sijui labda maaccountant wengne na wao watupe mitazamo yao?
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kuna wakili mmoja naye alikuwa anauliza kuhusu hizi hisa!Precision wanataka kulipia madeni yao kwa kuwapatia wenye hisa baadae kitu kama 2.something percent!!watu wanatakiwa wawe makini,wachunguze undani kwanza kabla ya kukimbilia hisa halafu baadae wanakuja kulalamika!!
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Eh huo mkitabu unaitwa prospectus sa mi account sijui ila kwa maccountant nina soft copy kwa anayetaka aniambie..
   
 6. B

  BARRY JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Mimi siyo mtaalam wa mahesabu lakini nimesoma kile kitabu, kwa kiasi flani hata kama wakiuza hisa hawawezi kumaliza kulipia hayo madeni ni makubwa mno, will take years...labda wataalam waeleweshe hapa kabla hatujamwaga hela huko
   
 7. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama uliambiwa na accountant huenda anajua kitu kuhusu usahihi wa financial statements zao ( manipulated financial statements)

   
 8. B

  BARRY JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Dah wife ananishauri tununue hizi hisa..wanawake kaazi kweli wanafikiria kiaina! Namweleza prospectus cielewi jamaa wamenichanganya mno...i will consult my financial person
   
 9. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Look at the way the profit after tax for 2010 and 2011 has been computed (prospectus obtained from Orbit Securities). That should shed some light on the company. Kwa kifupi ni kuwa hizo figures zao zina makosa.
   
 10. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  The information contained in the prospectus is not sufficient to enable you make an informed decision. If possible get hold of their most recent annual report which will somehow shed some more light to the profitability and future prospects of the company.

  If you don't mind me asking, what has your wife based her conclusions on?
   
 11. B

  BARRY JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  The profitability graph from yr 2007 to 2011 page34 and net profit figures for same period differ, kuna owner SWALA cjui dah...bongo shamba
   
 12. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli nami nimeziogopa hizo hisa za precision. Ni bora kununua hisa za kampuni zenye track record inayofahamika ya kulipa dividents kwenye secondary market.
   
 13. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sijaweza kuona hizo statement niko mbali kidogo.
  Ushauri,
  PW kuwa na -ve cash flows (kama ni kweli) si jambo baya, cha msingi angalia hizo -ve zililetwa na nini? Kawa walitumia pesa nyingi kufanya investment eg kununua ndege mpya then this is a good deal for the future. The better future of the company comes from their investment and operational activities. Kuwa na mapesa mengi yaliyolala benki ni uzembe kitaalam na hiyo kampuni inakuwa haina future plans.
  So angalia kama walizalisha pesa na wakainvest. Lakini kama hawakuzalisha pesa na hakuna investments au walikopa kulipana mishahara then u can doubt.
  Mwenye soft copy aweke hapa tupeane ushauri zaidi
   
 14. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Nadhani Mji mpya ndio ameonyesha uelewo wa Company Financial. Kwanza makampuni mengi yanakwenda IPO (kuuza shares) kwa mambo mawili kwanza ni kuongeza capital ili kuwekeza kwenye biashara au mbili ni kwa ajili ya kulima madeni kwani wameona kwamba madeni yanawabana na wanashindwa kufanya biashara kifanisi zaidi. Lilo baya katika IPO ni management desire ya kurudisha pesa yao walio wekeza kwa sacrifice ya other investors.

  Cha muhimu kwenye financial zao ni EBITDA (faida kabla ya depriciation, tax interest and amortization) hii inakuonyesa kama operation yao ni positive au negative. Kingine angalia cash flow yao, jee wapi wana cash negative kubwa, jee ni kwenye operational or Investment au kwenye Finance? Kama wana cash negative kwenye investment that is not a bad sign sababu wanafanya acqusition ya assets ambazo ni very expensive.

  Jee wametoa financial prospective (means forecast) au wametoa historical financials ambazo zinaonyesha jinsi walivyo perform. Jee hizo forecast zimekuwa audited? Kama haziko audited how can investors trust kwamba they're just numbers from the air?
   
 15. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Invest in PrecisionAir's shares at your own peril!!
   
 16. m

  mteule Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KQ Which has a 49% Stake in the company, over their recent AGM Said the company had made a loss of Kshs 188m= Tshs 3.384 billion for the year ended march 2011. Sasa unaweza pata picha current shareholders wanavyoumia.
   
 17. Deshbhakt

  Deshbhakt Senior Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  If KQ being a 49% percent owner suffered a loss than that it their liability as a corporation. Precision perhaps are looking at increasing their capital by means of selling these shares but as pointed out above, one remains skeptical about their annual and audited accounts vis a vie their need to pay off their debtors and start making profits-perhaps down the road in two-three years. Therefore one should not expect healthy returns during those years.
  Overall, maybe buying a few shares may not be such a bad idea-at least going by the motto 'be proud and buy Tanzania products'(?)
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Commonsense 101
  Hao KQ Kama wamepata hiyo hasara na 'wanaumia', kwanini hawauzi hisa zao? Tujibuni enyi wajuvi.
   
Loading...