stewie
Senior Member
- Sep 30, 2019
- 118
- 285
Wakuu kwenye form ya NIDA kuna kipengele kipo kinahitaji ujaze Namba ya cheti cha elimu ya juu, sasa je hapo utajaza Index number yako yaani examination number au utajaza ile namba iliyopo chini ya cheti chako, na pia vibox vipo pungufu ya hizo herufi na number je unaweza jaza ukavuka hata zile boxes?