Swali kuhusu combination

Swali kuhusu combination

Brown Nyanja

New Member
Joined
Feb 16, 2025
Posts
3
Reaction score
2
Jaman,mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2024,naomba kuuliz je ukiwa na matokeo haya nisomee comb gani ili nipagie coz y radiology chuo
Math B
Bios B
Chem C
Phy D
Geog c
sielew ,nahitaji kusoma PCB lkn sijui kama nitakubaliwa,,,naomben maoni yenu
 
Si bora iombe diploma yake unachukuliwa tena na mkopo juu halafu baadae utajiendeleza
 
Hiyo kozi kwa level ya diploma inaitwa diploma in diagnostic radiography kwa mwaka jana serikali iliongeza kiwango cha mkopo kutoka degree mpaka diploma ila kuna baadhi ya kozi zilipewa kipaumbele kupata mkopo,hii ya DDR nayo ikiwemo, vyuo vinavyotoa ni kama Bugando,muhas,kolandoto, City college mwanza,na vingine vingi.
 
Ajira yake ni haraka kama nikisomea diploma au degree?ipi ajira ni ya haraka ???
 
Hiyo kozi kwa level ya diploma inaitwa diploma in diagnostic radiography kwa mwaka jana serikali iliongeza kiwango cha mkopo kutoka degree mpaka diploma ila kuna baadhi ya kozi zilipewa kipaumbele kupata mkopo,hii ya DDR nayo ikiwemo, vyuo vinavyotoa ni kama Bugando,muhas,kolandoto, City college mwanza,na vingine vingi.
Kwa diploma ni muhas, Benjamin Mkapa na Bugando tu vyuo vilivyobaki ni certificate japo wataongeza diploma hapo baadaye
 
Anzia diploma mdogo wetu, Kuna kozi nzuri zaidi ya hio. Ipo biomedical engineering ni nzuri piaa.

Pia electrical, mechanical au mechatronics engineering ziko vzr pia.
 
Jaman,mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2024,naomba kuuliz je ukiwa na matokeo haya nisomee comb gani ili nipagie coz y radiology chuo
Math B
Bios B
Chem C
Phy D
Geog c
sielew ,nahitaji kusoma PCB lkn sijui kama nitakubaliwa,,,naomben maoni yenu
PCB unapata nenda ukapambane kwelikweli. Ukianzia diploma ni ngumu kusoma degree yake hapa tz maana vyuo ni viwili tu intake isiyozidi wanafunzi 25 kwa mwaka na competition ni kubwa. Na ukitokea advance hakikisha unafaulu kweli kweli. The decision is up to you.
 
Kwa ufaulu huo, PCB ni kupoteza muda. Physics utapata F, Chemistry D na Biology F. Nenda Diploma.
 
Back
Top Bottom