ElevateYourLife
Member
- Mar 21, 2022
- 28
- 27
Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
Application utafanya Kama kawa, na kupata ni bahatiNaomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
Asante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti keshoApplication utafanya Kama kawa, na kupata ni bahati
We anza kufuatilia cheti kuanzia hata leo.Asante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti kesho
We anza kufuatilia cheti kuanzia hata leo.
Nilishawahi kosa ajira na nilikuwa na connection kisa ujinga kama huu wako.
Huwa hazizidi wiki mbiliAsante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti kesho
Hv Ajira za waalimu zishatoka..?Huwa hazizidi wiki mbili
Wewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo..Ngoja waje kukupa muongozo...
Mpaka anakeraWewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo..
kumbe unamjuaMpaka anakera
Huyu Mkuu huwa hana baya na mtu muache Mkuu.Wewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo..