chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
Maswali mengine buana? We unadhani angekupa jibu gani?Kuna dem Kaweka status kuwa "Alichonipa Mungu Mwanadam hawezi kukiondoa"
Nikamuuliza kwa Upole Bikra yako iko wapi..??
Ghafla namtumia sms haziendi nadhani mtandao utakua unasumbua
hahahahahaaa afu ww Money penny weweee
Utan wa ngumi huo ss
Aiseee! Kuna majibu!
Alipata ajali ikatoka
Alipata ajali ikatoka
Ha ha haaaaaa
Ilipotea labda kwa kupigwa na upepo mkali..
Hahahaa sikuwezi [emoji188][emoji188]
Labda kaichukua mungu mwenyew😉😉
Hahaha uzuri wote ni ma shost so mtayamaliza,acha utani wa ngumi mkuu atakuwa amemaindi maana yawezekana ilikuwa moja ya best place of aher body
Amekubrock
kubrock ni hatari sana Meno yanaweza kutokaAmekubrock
ahahahahahakubrock ni hatari sana Meno yanaweza kutoka
Sipendi
Safi sna,Ahahaha mambo?
?Maswali mengine buana? We unadhani angekupa jibu gani?
Au swali lako lililenga majibu gani?
Acha kuwadhalilisha wanawake buana!
ABEEKwan kasema unakosa mkuu