Swali: JK tutakukumbuka kwa lipi?

Swali: JK tutakukumbuka kwa lipi?

Status
Not open for further replies.

Gerad2008

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Posts
583
Reaction score
287
Jk ameulizwa na mwakilishi wa ATN : Mh. tueleze je baada ya muda wako wa urais tutakukumbuka kwa lipi

Kikwete JIBU: Kwanza anaweka irrelevant story then anajibu: Mtanikumbuka kwamba NILIWATOA KULE NIKWALET HAPA:sad::sad:.

Mbona hasemi alikotutoa na alikotuweka

Mi nahisi alitutoa katika mwelekeo aliotuachia mkapa na kutuacha solemba:israel:😛eep::ballchain:
 
kama ilikuwa ni safariya dar moro ametutoa ubungo mataa ametuacha posta mpya....
 
kama ilikuwa ni safariya dar moro ametutoa ubungo mataa ametuacha posta mpya....
Kama safari yenyewe ni ya Dar-Moro alafu ametuachia posta mpya huyu hana nia nzuri na cc,lengo lake ni kutuchinjia baharini!!

Mwaka 2005 wakati ndugu mkuu wa kaya (JK 2)ambaye watumishi wa mungu walisema ni chaguo la mungu alisema "NATAKA NITOKAPO MADARAKANI WATANZANIA MNIKUMBUKE".Ninachojiuliza mpaka sasa kuna lolote aliliolifanya litakalotufanya sisi Watanzania tumkumbe daima?wanajamvi naomba labda mnikumbushe hayo yatakayotufanya tumkumbuke JK.
 
Mwanzo nilimpenda sanaaaa! kabla hajawa rais,sasa namchukia sanaaaaa!!!!.
 
Mwanzo nilimpenda sanaaaa! kabla hajawa rais,sasa namchukia sanaaaaa!!!!.

matumaini tulikuwa nayo watanzania hadi tukampa ushindi wa kishindo wa 80+% yamepotea na hatuna imani nae tena.
 
Mwaka 2005 wakati ndugu mkuu wa kaya (JK 2)ambaye watumishi wa mungu walisema ni chaguo la mungu alisema "NATAKA NITOKAPO MADARAKANI WATANZANIA MNIKUMBUKE".Ninachojiuliza mpaka sasa kuna lolote aliliolifanya litakalotufanya sisi Watanzania tumkumbe daima?wanajamvi naomba labda mnikumbushe hayo yatakayotufanya tumkumbuke JK.

cjawahi kumpigia kura, so mimi na yeye 50-50. hatujuwani, hatukumbukani.
 
Mwaka 2005 wakati ndugu mkuu wa kaya (JK 2)ambaye watumishi wa mungu walisema ni chaguo la mungu alisema "NATAKA NITOKAPO MADARAKANI WATANZANIA MNIKUMBUKE".Ninachojiuliza mpaka sasa kuna lolote aliliolifanya litakalotufanya sisi Watanzania tumkumbe daima?wanajamvi naomba labda mnikumbushe hayo yatakayotufanya tumkumbuke JK.

Kwa nyie lakini "Mtamkumbuka kwa kuchekacheka, safari za hapa na pale na jina alilopewa na Mnyika".
 
Mambo ya msitu wa mabwepande. Mtakuja kwenye majadiliano mkiwa na ngeu.
 
Hatakumbukwa kwa kuwa rais wa kwanza duniani kusafiri sana na kutumia vibaya pesa za walipa kodi
 
atakumbukwa kwa net za msaada kutoka usa, upanuzr na ujenz wa barabara, rekod ya juu ya safari za nje ikiwemo ile ya cuba alipo kwenda kubembea, migomo ya madaktari, idadi kubwa ya wakuu wa wilaya wanawake, mfumko wa bei, bora maisha kwa kila mtanzania, ongezeko la rusha mpaka ikulu, kutetea mafisad, misafara yake kupigwa mawe,utajiri wa ridhiwani, kumegeka mpaka anguko la ccm. Anamengi ya kukumbukwa nimechoka kuyataja mungine anaweza endeleza.
 
Atakumbukwa kwa visasi, utekaji nyara, kukumbatia mafisadi, kuifanya serikali ya kishikaji na kugawa vyeo kama njugu na kunemesha familia yake, kwa safari nyingi za nje ambazo hazikuwa na tija na kupiga picha na mastaa wa nje, kwa kuwanyima haki za msingi wananchi wake na takumbukwa kwa udhaifu aliokuwa nao kwani hakufaa kuwa raisi n.k n.k waliomchagua wasubiri hukumu yao kwa mungu
 
Bliv me or not! JK juniour atakua RAIS bora kuliko yeyote yule kwa waliomtangulia kwa kazi kubwa moja tu nayo ni kutuondolea CCM jamani hii sikazi raisi km wengi tunavyo dhani so tusimpuuze tumpe moyo ili aweze kufanikisha zoezi lake hilo...MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI CHAGUO LAKO MPENDWA HILI ATIMIZE AZIMA YAKE...AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN
 
Kwa kutuacha Watanzania tukifa kwa maradhi, umasikini na ujinga huku yeye akiwa anaruka kwenye mabembea Jamaica
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom