Swali: JK tutakukumbuka kwa lipi?

Status
Not open for further replies.
kwa kujishobokesha kwa masupastaa na kuomba kupiga nao picha,...hapa mifano iko mingi
 
Bliv me or not! JK juniour atakua RAIS bora kuliko yeyote yule kwa waliomtangulia kwa kazi kubwa moja tu nayo ni kutuondolea CCM jamani hii sikazi raisi km wengi tunavyo dhani so tusimpuuze tumpe moyo ili aweze kufanikisha zoezi lake hilo...MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI CHAGUO LAKO MPENDWA HILI ATIMIZE AZIMA YAKE...AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN

vp malengo yasipotimia?
 
Vipi katika upande wa maendeleo,je jamaa ana lolote la kumkumbuka?vipi ahadi zake wakati wa kampeni zimetekelezwa?kama hazijatekelezwa je zinaweza kutekelezeka?
 
Nimekumbuka naweza kumkumbuka JK kwa hili moja;kutufanya tuitumie vema ibara ya 18 ya katiba ya jamhuri ya muungano,hapo kweli jamaa katupa uhuru ndio maana hata leo tunajimwayamwaya kwenye JF,ila mengine mmmmhhh......
 
Haya ni baadhi ya mambo yaliyojitokeza katika utawala wa Jk.
1.EPA
2.ugaidi
3.Udini
4.Ukabila
5.utesaji na uong'oaji watu kucha na meno bila ganzi
6.mauaji ya wananchi kwa kutumia jeshi la polisi kwa shinikizo la mzee pinda.
7.Mauaji ya waandishi wa habari..
8.Utekaji wa watu wanaokosoa au kuipinga serikali.
9.kusaini mikataba mingi kwa siri ndani ya siku moja.
10. Mikataba hewa
11.utoroshaji wa wanyama wakiwa hai.
12.kuporomoka kwa maghorofa na kuua watu kadhaa.
13.kuzama kwa meli ya mv islanders na stargit huko zanzibar.
14.kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne kwa zaidi ya 60%
15.......nisaidieni jamani nimechoka mambo ni mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom