SWALI: Je, umalaya ni nini?

Hebu niambie tofauti ya ukahaba umalaya na ukicheche japo kwa ufupi
Ukahaba ni biashara,
umalaya unatombana hovyo tu bila kujali Hela.
Ukicheche unaaruka hautulii kwenye mahusiano na mtu mmoja, Leo uko na mahusiano na huyu, kesho yule.
 
Kwa maana hiyo hata mwanaume mwenye mwanamke zaidi ya mmoja au mwenye mke halafu na mwanamke nje naye ni malaya.

Umalaya hauna JINSIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…