Swali: Je huyu ni mchezaji gani?

Swali: Je huyu ni mchezaji gani?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,131
Reaction score
9,682
Wewe ni nguli wa kufatilia soka, twende kazi.

Ni mchezaji gani amecheza na wachezaji hawa kwa nyakati tofauti, iwe kwenye vilabu au timu ya taifa.

Mchezaji gani huyo kacheza na Messi, Cristiano Ronaldo, Neymar, Zidane, Beckham, Mbappe, Ronaldo de Lima, Kaka, Xavi na Iniesta?

Weka jibu lako hapa…
IMG_6505.png
 
Sergio Ramos

Played with Messi, Neymar and Mbappe in PSG
Played with Christiano Ronaldo CR7, Kaka, Ronaldo R9, Beckham & Zinade in Real Madrid
Played with Xavi and Iniesta in Spain national team
 
Wewe ni nguli wa kufatilia soka, twende kazi.

Ni mchezaji gani amecheza na wachezaji hawa kwa nyakati tofauti, iwe kwenye vilabu au timu ya taifa.

Mchezaji gani huyo kacheza na Messi, Cristiano Ronaldo, Neymar, Zidane, Beckham, Mbappe, Ronaldo de Lima, Kaka, Xavi na Iniesta?

Weka jibu lako hapa…View attachment 3316186
Raphinha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom