Kilichovunjwa ni Bunge na wala siyo ubunge wao.
Ubunge na uwaziri unakoma au unapaswa kukoma pale wengine wanapokuwa wamechaguliwa na kuapishwa kwa rais.
Kama ambavyo mbunge mteule hana mamlaka ya kuhusika na masuala nyeti ya Bunge hadi aapishwe, ndivyo ilivyo pia kwa mbunge anayeondoka madarakani (baada ya Bunge kuvunjwa).