iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,418
- 2,759
- Thread starter
- #41
True story??? Ila bora hiyo kuliko wale wanaoandaaga watu wakutoboe spika hahaa
Kuna jamaa alimfuma rafiki yake anajisevia mke wake..Jamaa akawa anamuomba msamaha..Mwenye mke akachukua panga akamkata vidole vitatu vya mkono wa kulia..Kisha akamwambia nimekusamehe rafiki yangu..