Lakini sio ilipaswa kuwa chini ya makinda kwa sasa, maana ilijengwa kwaajili ya Spika?Kwani huoni ule mkutano wa sita kafanya kwenye viwanja vya nyumba hiyo. Ni mali ya sita hio.
Lakini sio ilipaswa kuwa chini ya makinda kwa sasa, maana ilijengwa kwaajili ya Spika?
Sasa naanza elewa kwanini Baba wa Taifa alisema ukizoea kula nyama ya mtu hutaacha.
Vivyo hivyo ukizoea kufuja kodi za wananchi maskini wasio hata na chumvi, au mafuta ya taa, hutaacha, wala hutaona ni tatizo
Kwa sasa ni just a "white elephant!", ila 2015 itakuwa ndio private office ya the president of URT wakati wa likizo!.
Pasco
Laiti ungelinijua!.by Pasco;
Kwa sasa ni just a "white elephant!", ila 2015 itakuwa ndio private office ya the president of URT wakati wa likizo!
Pasco umeshahamia Unyamwezini?
Hii tabia ya kutanga tanga mwisho wa siku utajikuta umekosa kila kitu! (mr fisi)
Todate sielewi ile nyumba why Huyu jamaa aliijenga?
WanaJF, nauliza tu swali kwa anayefahamu kwa faida ya watanzania wanaopenda kufahamu kama mimi.
Ile nyumba ya Spika iliyojenjwa Urambo Mashariki kwa aliyekuwa mwenyekiti wa bmk inatumikaje?
Yaani Spika Anna Makinda anaitumia au serikali imebadilisha matumizi yake? Nauliza maana ilijengwa kwa mamilioni ya kodi ya wananchi, hivyo sio vizuri isitumike walau kwa matumizi ya serikali.
Nauliza kwani nimetafakari na kuona huyu bwana Sitta ana uzoefu kwa kufuja fedha ya umma bila huruma, ndio maana aling'ang'ania kuendelea na mkutano bmk ingawa ilikuwa dhahiri katiba bora haiwezi kupatikana.
Ona sasa siri zinaanza kuvuja za uharamia waliofanya ili akidi ya 2/3 ipatikane.
Umeona fojari iliyotumika kuhakikisha wajumbe wa Zanzibar wanatimia?
Na sijui serekali ilikuwa wapi wakati inajengwa ina maana hawakuona haya mapungufu.
Ni vyema tukaandika mambo kwa usahihi, tusipokuwa makini tutatengeneza Taifa ka waongo na wazushi, Hiyo nyumba/ofisi ni YA mbunge wa urambo, MICHUZI BLOG: JK ziarani urambo leo na huo ni mpango wa serikali kuwajengea nyumba/ofisi wabunge , Sasa kama tunapinga huo mpango ni vyema tuwe wAzi kuliko kuwasakama wabunge wanaojengewa hizo nyumba,
Mali Nyingi za umma zinaibiwa na wanasiasa kwa Sababu sisi wananchi Ndio tunaanza kuwamilikisha kabla YA wao Kuwa na nia hiyo, Hii ni nyumba ya Serikali Lakini usahihi wake umepotoshwa Sana na wanasiasa na wapambe wao. Tuwe kweli kama tunataka mabadiliko
Ni vyema tukaandika mambo kwa usahihi, tusipokuwa makini tutatengeneza Taifa ka waongo na wazushi, Hiyo nyumba/ofisi ni YA mbunge wa urambo, http://issamichuzi.blogspot.com/2010/07/jk-ziarani-urambo-leo.html?m=1 na huo ni mpango wa serikali kuwajengea nyumba/ofisi wabunge , Sasa kama tunapinga huo mpango ni vyema tuwe wAzi kuliko kuwasakama wabunge wanaojengewa hizo nyumba,
Mali Nyingi za umma zinaibiwa na wanasiasa kwa Sababu sisi wananchi Ndio tunaanza kuwamilikisha kabla YA wao Kuwa na nia hiyo, Hii ni nyumba ya Serikali Lakini usahihi wake umepotoshwa Sana na wanasiasa na wapambe wao. Tuwe kweli kama tunataka mabadiliko