COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,602
- 3,655
Kuna misemo inasaambaa whatsappk kila siku, ikisisisitiza kuwa ni wise quote from Mugabe? Mimi binafsi napatwa na mashaka na hiyo misemo kama ni kweli inatoka kwa huyo mzee.
Je wenzangu mnaweza saidia kunielimisha kama ni kweli au si kweli?
Wanaotumia Whatsapp watakuwa wamefahamu hiyo misemo.
Msaada tafadhari.
Je wenzangu mnaweza saidia kunielimisha kama ni kweli au si kweli?
Wanaotumia Whatsapp watakuwa wamefahamu hiyo misemo.
Msaada tafadhari.