Hasara ni pale matumizi au uwekezaji kuzidi mapato....kwa hili la Magufuli anaweza kuwa sahihi...wakati mwingine inabidi kuingia gharama(sio hasara) kuweka mambo sawa,watu walikuwa wanaiba maliasili bahari bigtime na ndipo hasara iko huko...rais wetu akisafiri mara moja hutumia 50m...hiyo ni gharama sio hasara...generally matumizi ya serikali ni gharama zaidi kuliko hasara