Nasikia hata ukimtamani mwanamke ambaye hujamuoa
WAKRISTO. Bali hata yule amtazamaye mwanamke kwa kumtamani
amekwishakuzini naye moyoni mwake.
WAISLAMU: Jicho la kwanza halina kosa yaani ukiona usirudie tena
kama ni mke/ au mme mmepishana basi ukigeuka kumtazama
kwa kumtamani UMEZINI pia.
Sasa sijui wale wanaokumbatiana kwenye daladala inakuwaje maana wengine
mpaka wanaji........ eti mfadhaiko. Lakini mazingira yanasababisha hivyo maana
wengine wanakuwa na njaa ya siku nyingi.
Hivi kucheat na kuzini vina maana moja?Tafadhali naomba ufafanue utakaposema ndio au hapana!
Pole sana,
Kama umesali vizuri na bado devil akakukaribia basi inabidi uombewe....
Omba tu msaada ili wenye upako wajitokeze kukupa support!!
Babu DC!!
DC una upako? I think kweli nahitaji deliverance!
Kucheat ni kudanganya kwenye mapenzi kwa watu walio mapenzi. Kwamba kucheat kunajumuisha uzinzi na uasherati. Kuzini ni kumega nje ya NDOA. Kwa kifupi kuzini kunahusisha wanandoa wakati kucheat haijalishi wenye ndoa au wachumba au bf vs gf. Nyosha mkono juu kama hujaelewa.