Swali gumu sana hili

Kuna watu mambumbu dunia hii, huwezi kuamini!
 
Hili swali halitofautiani saaaana na lile Kikwete aliulizwa na mwandishi mmoja Ughaibuni: 'kwa nini nchi yako ni maskini"? mkulu alisema: "sijui kwa nini nchi yangu ni maskini'.... mabogus hawaishi duniani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…