Ahaa! Philosophy maana yake kupenda hekima (love of wisdom). If you get a bad wife you surely need wisdom to live with her! If you dont have it, you need to get it.
Mwanafilosifia nguli duniani (Socrates) aliwahi kusema "By any means mary, If u get a good wife you will be happy, if you get a bad one you will be a phylosopher".!
Kwenu GT huyu philosopher alikuwa na maana gani?
mary,
Kweli kabisa, hasa mke mwenyewe awe wa design kama yakoUkishaoa utamuelewa.
Kweli kabisa, hasa mke mwenyewe awe wa design kama yako
mkuu unamaanisha Socrates aliwahi kumegewa mke?
Unashangaa nini? Uzinzi is part of human nature na ndiyo maana si wewe au mimi au hata wana JF wenzetu wanaweza kusuluhisha hii kitu. Tumeumbwa na kupewa ili tupeane na kumegeana, na ndiyo maana wanasema kuwa siri ya ndani ni kati ya mpkokeaji na mtoaji, na si vinginevyo!