Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
- Thread starter
- #41
Kwanini vizuizi vya kufunga njia viamriwe 7+ baada ya tukio? Nani amekamatwa hadi sasaKama mtu angewapigia trafic na kuwaeleza gari fulani limefanya uhalifu nafikiri trafick wangeweka vizuizi. Je yupo aliyewaambia? unaweza kulaumu kumbe kwa wakati huo trafick hawakupewa hata namba ya gari kulisimamisha