Swali fikirishi: Kwanini gari lililotumika kumpiga Lissu risasi trafki waliliandalia njia kupita ili lisikae foleni?

Kipapatiro

JF-Expert Member
May 18, 2017
1,129
1,497
Kupitia mahojiano ya TV na Mh Msigwa Na Lema kule Kenya nimeshangaa kusikia kwamba ile Nissan nyeupe iliyomshambulia TML kwa risasi kadhaa ilisaidiwa Na trafki ili isikae foleni.

Ushahidi huo ulitolewa na boda boda Na wananchi wa maeneo ya jirani.

Lakini Pia hata walinzi wa makazi hayo ambayo huwa panakuwa na walinzi 24/7 siku hiyo walinzi hawakuwepo...

Shame on Government security organs

Naomba kuweka kumbu kumbu sawa then tuunganishe doti!!!

Mwaka 1997 aliyekuwa mbunge wa Morogoro,Nicas Mahinda alipokea vitisho vya kuuawa,aliripoti polisi lakini hakupewa ulinzi wowote,usiku wauaji wakaja,alifanikiwa kupambana na kulinda roho yake lakini wauaji hao baada ya kushindwa walimwahidi kurudi tena kesho.

Mh Mahinda aliripoti tukio hilo polisi lakini hakupewa ulinzi,usiku wauaji walirejea tena na kufanikiwa kuondoka na roho ya waziri huyu kijana,sijui kama unakumbuka tukio hili.

Mwaka huo huo Reginald Mengi alipokea vitisho sawa na Mh Mahinda lakini Mengi aliripoti polisi na kupewa ulinzi. Unaweza kuripoti kama wamepanga kukunyamazisha milele utanyamaza tu!
 
Bashiteeee mji wa daudi.

Wanafanya hivyo then wanapita kulia makanisani hii ni kumdhihaki Mungu wajameni. Wakiwa na Roho wa Mungu ndani mwao kamwe hawangeweza kufikia hatua za kikatili namna hiyo.

Shame on them
 
Aliyefanya hivyo kwao ni shujaa maana ameweza kutekeleza maamuzi magumu. Afadhali wangenyamaza hata kuongea.

Hili jambo ni sawa na majambazi wanaokwenda kuvamia nyumba ya mtu, wakiwa wamewapanga majambazi wenzao nje ya nyumba kuhakikisha ujambazi unafanyika salama. Baada ya kufanikisha, majirani wanaanza kupiga kelele, na majambazi nao wanajiingiza kwenye kundi la wanaopiga kelele, nao wanaanza kupiga kelele, wanawaambia majirani waliokuwa wanapiga kelele, wakapumzike maana wao watakusanya nguvu zao zote mpaka majambazi wapatikane.

Lazima uwe mjinga wa kudumu kuwaamini majambazi hao kuwa kweli watawakamata majambazi wenzao.
 
Kupitia mahojiano ya TV na Mh Msigwa Na Lema kule Kenya nimeshangaa kusikia kwamba ile Nissan nyeupe iliyomshambulia TML kwa risasi kadhaa ilisaidiwa Na trafki ili isikae foleni.

Ushahidi huo ulitolewa na boda boda Na wananchi wa maeneo ya jirani.

Lakini Pia hata walinzi wa makazi hayo ambayo huwa panakuwa na walinzi 24/7 siku hiyo walinzi hawakuwepo...

Shame on Government security organs
Kwan dodoma kunafolen???
 
Bashiteeee mji wa daudi.

Wanafanya hivyo then wanapita kulia makanisani hii ni kumdhihaki Mungu wajameni. Wakiwa na Roho wa Mungu ndani mwao kamwe hawangeweza kufikia hatua za kikatili namna hiyo.

Shame on them
Dah hii Ni hatari Sana. Gid will deal with them all
 
Bashiteeee mji wa daudi.

Wanafanya hivyo then wanapita kulia makanisani hii ni kumdhihaki Mungu wajameni. Wakiwa na Roho wa Mungu ndani mwao kamwe hawangeweza kufikia hatua za kikatili namna hiyo.

Shame on them
Shame shame shame !!!! Upon them! Walahi mungu anawaona. Lakin anae ua atakufa pia kwahiyo malipo yapo na yah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom