Swali fikirishi: Kwanini gari lililotumika kumpiga Lissu risasi trafki waliliandalia njia kupita ili lisikae foleni?

Kama mtu angewapigia trafic na kuwaeleza gari fulani limefanya uhalifu nafikiri trafick wangeweka vizuizi. Je yupo aliyewaambia? unaweza kulaumu kumbe kwa wakati huo trafick hawakupewa hata namba ya gari kulisimamisha
Kwanini vizuizi vya kufunga njia viamriwe 7+ baada ya tukio? Nani amekamatwa hadi sasa
 
Kama mtu angewapigia trafic na kuwaeleza gari fulani limefanya uhalifu nafikiri trafick wangeweka vizuizi. Je yupo aliyewaambia? unaweza kulaumu kumbe kwa wakati huo trafick hawakupewa hata namba ya gari kulisimamisha
Trafik hawaamrishwi na "watu" bali na wakuu wao wa kazi! Jee wakuu wa kazi iliwachukua muda gani kujua kama Lissu kashambuliwa kwa risasi na waliomshambulia wamekimbia kwa kutumia gari?
 
Ukitaka kujua hawa ni wasanii tu hebu angalia gari zote mbili zimetajwa namba , aina na rangi lakini mpaka leo, hata kwa kuridhisha tu haijakamatwa hata moja!!

WaTz nao ni wanafki!! Mpaka leo jambo kubwa kama hili ilitakiwa hata kuandamana pamoja na marufuku iliyopo.
Uoga unatumaliza mkuu. Hii ilipaswa wote tuwe barabarani. Police ni wepesi Sana
 
Ndo dhana ya ushirikishwaji mnapofeli yaani nyinyi hamtoi ushirikiano hadi mfuatwe na tatizo ni lenu,nyie ndo mmekumbwa??

ndo yaleyale ya Lissu kuongea kwenye media eti gari fulani linanifuatilia bila kwenda kuripoti polisi halafu kuna mtu anasema hakupatiwa ulinzi na polisi wala polisi hawakufanya uchunguzi wa gari hilo,mnataka uchunguzi gani ufanyike wakati hajaenda kuripoti polisi??tena yeye ni mwanansheria anajua sheria badala ya kwenda polisi anaoripoti kwenye media kwelii?
Wameshatangaza kutokuwa na imani na wewe, pili wanajua hata wakikuletea huna la kufanya, sana sana utaambiwa weka hapo nenda tutafatilia.
Hivi mbona humu pakitangazwa mikutano wanapata taarifa na wanaenda kuzuia, hata ile ya maombi.
Iweje taarifa muhimu kama za mauaji watu wanatajwa humu live hawachukuliwi hatua yoyote.
Zaidi sana kuna viporo vingi ambavyo havijafanyiwa kazi hamna haja tena kuleta jipya.
 
Unaijua Dom dada au unakurupuka tu....unadhani kwanini kuna matrafki? Unajua Kazi ya trafki bara barani Na Je unajua trafki anapaswa asimame wapi Na kwanini? Full sh
Siwez ongelea mji ambao siujui
Ni kama kusema mwanza kuna folen
Ata DSM kuna maeneo ukienda hamna folen
 
Bogus kabisa. Kwanini police haohao wanamkata Lissu kwa speech walizozisikia mitandaoni? You're a zero brain
Jambo la uchochezi lazima utakamatwa kwa kuwa lina athiri taifa lakini jambo lako wewe la kutishiwa maisha lazima ureport kwa polisi sio kwenye media,data zako tunazipataje kama unaropoka kwenye media ushahidi tunapataje kama wewe hureport upo kwenye media??
 
Wameshatangaza kutokuwa na imani na wewe, pili wanajua hata wakikuletea huna la kufanya, sana sana utaambiwa weka hapo nenda tutafatilia.
Hivi mbona humu pakitangazwa mikutano wanapata taarifa na wanaenda kuzuia, hata ile ya maombi.
Iweje taarifa muhimu kama za mauaji watu wanatajwa humu live hawachukuliwi hatua yoyote.
Zaidi sana kuna viporo vingi ambavyo havijafanyiwa kazi hamna haja tena kuleta jipya.
Basi msiilaumu Polisi undeni kikosi chenu mfuatilie na kama mlikuwa hamna imani toka mwanzo basi sasa tuwalaumu nyie wenyewe kwanini hamkumpatia ulinzi Lissu na kwanini hamkulitafuta hilo gari na wahusika wake??
 
7bcbe3898fc8fadcfbf666b8a9950a6e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya "fake News" yameshamshinda trump itakuwa Tanzania!!
 
Mkiambiwa mpeleke ushahidi Polisi hamtaki ila kwenye Matv ndo mnaona best place ya kupeleka kesi na malalamiko yenu.
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kiongozi.Na ndio maana hata kwenye chaguzi wanapigwa chini tu wanasingizia kuibiwa kura. Ni watu wa porojo zaidi pasipo kuwa wahalisia zaidi. Ni watu wa kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari tu.
 
Jambo la uchochezi lazima utakamatwa kwa kuwa lina athiri taifa lakini jambo lako wewe la kutishiwa maisha lazima ureport kwa polisi sio kwenye media,data zako tunazipataje kama unaropoka kwenye media ushahidi tunapataje kama wewe hureport upo kwenye media??
Usitake kuwafanya Polisi wetu ni wajinga kiasi hiki. Yaani mtu akisema kwenye Mkutano wa habari nataka kuawa polisi hawachukui hatua yoyote ile, ila kwenye mkutano huo huo akisema Rais hafai polisi wanamkamata.

Hivi hujui kama katiba yetu inaulinda na kuuthamini uhai wa kila mtanzania?
 
Ndo dhana ya ushirikishwaji mnapofeli yaani nyinyi hamtoi ushirikiano hadi mfuatwe na tatizo ni lenu,nyie ndo mmekumbwa??

ndo yaleyale ya Lissu kuongea kwenye media eti gari fulani linanifuatilia bila kwenda kuripoti polisi halafu kuna mtu anasema hakupatiwa ulinzi na polisi wala polisi hawakufanya uchunguzi wa gari hilo,mnataka uchunguzi gani ufanyike wakati hajaenda kuripoti polisi??tena yeye ni mwanansheria anajua sheria badala ya kwenda polisi anaoripoti kwenye media kwelii?
Bavicha waliongea na vyombo vya habari kuhusu maombi kwa Mungu sinza!! Lakini kesho yake asubuhi kulikuwa na defender 6 za kuzuia maombi hayo. Je walipereka taarifa rasmi police?! Kwa nini katika swala linalohitaji uwajibikaji kunatafutwa sababu za kutotoa taarifa rasmi?!

Kwa aina hii ya swala la Lissu, cdm wajipange siasa za kistaarabu hazitawafikisha popote!!
 
Wakati mwingine kukaa kimya ni sahii...Hivi umeishawai kukaa Dom wakati wa BUNGE?mfano wakati wa kuingia Bungeni ,wakati kula chakula na wakati wa jioni?
Kariakoo kukuwa na folen haimaanishi Tabata nako kuna folen
Ila Kkoo kukiwa na folen inamaanisha post nako kuna folen
Umeelewa???
 
Bavicha waliongea na vyombo vya habari kuhusu maombi kwa Mungu sinza!! Lakini kesho yake asubuhi kulikuwa na defender 6 za kuzuia maombi hayo. Je walipereka taarifa rasmi police?! Kwa nini katika swala linalohitaji uwajibikaji kunatafutwa sababu za kutotoa taarifa rasmi?!

Kwa aina hii ya swala la Lissu, cdm wajipange siasa za kistaarabu hazitawafikisha popote!!
Basi na wewe ukiibiwa kuku nenda kwenye media katangaze kuku wangu kaibiwa uone kama utapata majibu ya polisi. Lakini ukisema nataka kuanzisha maandamano lazima tutahusika maana utagusa amani na utulivu wa nchi ambao polisi unahusika nao moja kwa moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom