Swali :duka la reagents za maabara - mwanza

Gmark

Senior Member
Nov 6, 2015
138
30
Nauliza mwenye kufahamu mahali lilipo duka la vifaa au chemicals za maabara mwanza, anielekeze
 
Bro waone WAJA General Co Ltd, wapo Uhuru Street, jengo la Nyanza Rd Works opp na Fire pale.
 
Back
Top Bottom