Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 16,495
- 15,690
Samahani mimi kama Mzalendo naomba niulize wale wazalendo wanaopenda maendeleo wenzangu.
Hivi kweli Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote ni wa kuuza Karanga kweli?
Yani na ma Exposure yote aliopata kipindi cha miaka 13 katika fani ya mziki wake na kusafiri duania nzima, akakaaa chini akafikiriia akaona auze karanga?
Jesus is Lord!
Hivi ni mimi tu naona Fault au kuna wengine tena?
Kweli Tz kuna Uchawi!
Cardi B wangapi wanamjua?! ameanza mziki hana miaka 5 lakini mbona anafanya vitu vikubwa sana makwao na hauzi karanga jamaa
Kuna kitu kinaitwa Standard of life au Class! Mbona Zari jamani hauzi Karanga tangu tumemjua shida iko wapi jamani?
Haya Team Mondi mkuje ku-hate kama kawaida yenu
Kama kuna mtu anaweza kumshauri Mondi badala ya kutukanana na akina Original Owner wa Karanga angekaa chini na Bibie Zari kidogo yule mama ana akili za maisha na Class, na sasa kaamua kukaa pembeni maana mdogo wenu Mondi hajisomi, na huenda akishauriwa hataki ndio unasikia anazaa zaa kama mpemba sasa mara Mobeto mara Tunda kiru! Kwani nyie wanaume wa Kibongo mnashida gani?
Haya mambo ya aibu jamani acheni wakina Mange waongeage tu ni aibu ati msanii wenu wa Tz anauza karanga nchini kwake ana nyumba 1 Madale.

Bora Ali-Kiba aliakaa kimya hauzi maji wala karanga wala pipi anaimba zake tu.
Dada yenu Wema sasa ndio hata simuelewi kabisa, anauza Ubuyu unaitwa WEMEMEZ sijui nini mara kesho anavaa vitenge kaanza kupiga picha kama wale fashionista wa Ulaya.
Kha! sasa kama ana APP aliotengeneza mil 4 Africa Kusini alikosaje kumtafuta Expert akamsaidia ku-design biashara moja matata mjini yenye akili akaifanya?
Mimi nikiongea mnasema sio mzalendo najidai sijui ushamba lakini vitu vingine ni kama wale wenzangu wanaochukia kuangalia Bongo Movie tu, wanaona bora wakatafsiriwe vya mchina tu yaishe.
Dadaenu Wolper Stylish sasa anataka kutuuzia viungo vya pilau, kwani zile nguo anazouza biashara imekuaje?
Mdogowenu Shilole anatengeneza Chips Krips! doh, haya buana yote maisha.
Jamani Yesu weee kuna shida gani huku Bongo ni uchawi tu au kuna mengine?
Mbona Bruno Mars hauzi Karanga au ubuyu? Mbona Yemi ALade hauzi ugali wa Kinigeria kwao? Mbona Mafikizolo hawauzi pombe ya Mkomboti kule kwao Africa Kusini kwani Tz kuna nini mbona sielewi?
Nilitaka kuwa Celebrity nimeghairi sio kwa vituko navyoviona,
Ninamshukuru sana yule aliemshauri Mondi atengeneze radio na tv station huyo kama mnamfahamu aje nitampa dola 1000 akanywe maji.
Naombeni mniamshe pale ambapo Wema,
Platnumz, Wolper, Shilole, Kiba, Jaydee, Veemoney watakapofikiria kuungana na kutengeneza/ kufanya sustainable developments kama kujenga international / local hospitals, International / local shule International vyuo vikuu kama cha Zari International nyumba za ibada, International islands Disney lands, International game parks na kuzitangaza International hotels, International radio stations otherwise si follow any celeb wa Tz, never!Naombeni mniamshe pale ambapo Wema,
Hivi kweli unadhani hawa wasanii wakaungana wakasema tunataka kazi zetu zikumbukwee, tunajenga hospital mbili za kimataifa Tz kwa ajili ya matibabu ya Kansa na matibabu yote kwa ujumla kwa ajili ya kuisaidia serikali yetu na kurudisha shukrani zetu kwa jamii kwa kutusapoti kazi zetu za muziki uone kama kuna kiongozi atasema zima Tv wamekaa uchi
ila kwasababu sijui ndio u selfish sijui ni ujinga sijui elimu duni mtu anatamba nimetengeneza album mil 100, kwahiyo sisi tukusaidiaje? Mje mnunue niweke saini?! Mimi penny nikanunue album ya nani ameisaidiaje jamii?
Mwingine anatamba amefunga rekodi Bilion 3 anazo benki, kwahiyo kama unazo watanzania tufanyaje? Sawa tukijua unazo inatusaidia nini? Jesus jamani vitu vingine ni akili kumkichwa, nanunuaje kasete ya 2500 sijui 10,000 wakati kuna watz wanakufa na njaa, hawana matibabu wanakufa?
Njoo Marekani sasa uone wasanii wanavyorudisha shukrani kwa jami wanajenga mashule wanachangia kampeni wanajenga mahospital mahotel hakuna kiongozi Marekani au Ulaya yeyote anafungia mziki wa msanii tena ndio kwanza promo kibao rudi Tz ukipigiwa promo na mheshimiwa labda kipindi cha uchaguzi
vitu vipo simple lakini watu wanaanza ku hate, oh we penny huna akili kama wewe na wasanii wako mna akili mbona mnatuuzia karanga na ubuyu na viungo vya pilau?
kiru!
Upendo na umoja hamna ndio maana wanafungiwa acheni tu hamna wanachokifanya zaidi ya kukaa uchi.
Sasa mnaelewa nikisema marafiki zangu hawawa-follow wasanii wa Tz hata m1, na wakiskia mnawaongelea wananyanyuka na kuondoka na kusonya.

Naomba kama hauna sensible comment usicomment hapa! Tunataka suluhu tunamsaidiaje mtu alieisaidia Tz kujulikana kimziki duniani lkn kibiashara kachemka.