SWahili vivu sana

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Waswahili 2 wavivu sana baada ya kucheza bao wakataka kuita taxi iwapleke msibani, kila mmoja anajisikia uvivu kuita taxi, baada ya mabishano marefu mmoja akaita taxi iliyokuja na kusimama mbele yao kidogo, mzozo ukaanza tena kwanini wasiite taxi ya kuwateremsha msibani badala ya kuwapeleka?
 
nami nishaita taxi ku-deliver ubongo wa kuweza kuelewa hii chekesho!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…