Swahili Music Quotes

Nadhani Tafsri ya kwanza kwangu ndio naiona sahihi.
Big up br!

Kizazi cha Sasa wanataka kokoro/sangolo,akili zao zimeganda mda wote wanataka full shangwe nyimbo hii ni hatari.
 
Naungana kidogo na Dominic Myumbilwa maaana ya mstari "mjinga utaacha unashangaa kumuona martin kadinda" ina maana bongo kuna vituu vingi vya msingi vya Kufanya na kina martin kadinda ni moja kati ya watuu wanaoangaliwaa hivo baasi kama wew ni mjinga utabaki kushangaa tuuu mambo ya martin na kutokufanya vitu vya msingi
 
Oi oh oh hip hop base enzi hizo nakiangalia eatv, jamaa alikuwa anajua
 
zangu mimi ni kung'arisha moka
napendaga makiki kama msanii...


NIMESHAONYWA SANA NA BABA ASKOFU
NIMESHAOMBEWA SANA NA KILA PAROKIA

VITUMBUA VINANIJUA BINGWA LA KUTIA MCHANGA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…