PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,270
[emoji116][emoji116][emoji116]I love the song. Weka link hapa.
ni Quote,makosa ya kiuandishi tu
I love the song. Weka link hapa.
Hapo Sijaelewa embu nieleweshe mzee
Hapana nguvu ya mamba ni maji"Majumba magari ya bwana Almasi"
"Je,hizi track za harakati ni ujinga"?!
Na umaarufu au kutamba kushika namba ni bahatiHapana nguvu ya mamba ni maji
Sio kipaji ka kubanda eti unachana kigumu..Na umaarufu au kutamba kushika namba ni bahati
Kisa track ikivuma saana kwenye chati haidumuSio kipaji ka kubanda eti unachana kigumu..
Amani kwa chachage na Makuwadi wa Soko huriaKisa track ikivuma saana kwenye chati haidumu
Baba asante kwa utafiti na zawadi ya Almasi iliyo bandiaAmani kwa chachage na Makuwadi wa Soko huria
hii inaweza kua na tafsiri zaidi ya moja, mimi niliitafsiri hivi kwanza; kuna skendo zimekua zinavuma kuhusu wanamitindo wakiume, wengi wao wakituhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, yaani ushoga, sasa utashangaa hapo ukimuona Martin Kadinda (kasimamisha); maana ya pili inaweza kua huu ushabiki wa sikuhizi wa mitandaoni na watu kufwatilia sana mastaa, sasa usije ukaachwa/kupitwa na maswala ya msingi kwa kushabikia mastaa; nilisema inaweza ikawa na maana zaidi ya moja, we umeitafsiri vipi sijuiHapo Sijaelewa embu nieleweshe mzee
Pamoja Mkuu,hii inaweza kua na tafsiri zaidi ya moja, mimi niliitafsiri hivi kwanza; kuna skendo zimekua zinavuma kuhusu wanamitindo wakiume, wengi wao wakituhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, yaani ushoga, sasa utashangaa hapo ukimuona Martin Kadinda (kasimamisha); maana ya pili inaweza kua huu ushabiki wa sikuhizi wa mitandaoni na watu kufwatilia sana mastaa, sasa usije ukaachwa/kupitwa na maswala ya msingi kwa kushabikia mastaa; nilisema inaweza ikawa na maana zaidi ya moja, we umeitafsiri vipi sijui