Amyner
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 2,397
- 877
Leo nilienda maeneo ya millenium towers, wakati naingia kuelekea crdb nikakutana na mkaka akiwa kwenye mishe zake..The way he was dressd up imenibidi niwashirikishe..
Alikuwa amesukia uzi wa pink, light green, yellow na rangi zingine sikumbuki. Ana hereni masikioni, cheni kadhaa, trouser imembanaaa "kama skinny jeans zetu kinadada", na kitop maana kilimshika mno. Nikajiuliza, is it what they call swagg? Au "fakeness" has a new name called swagg?!