MSELA WA KOTA
New Member
- Oct 16, 2012
- 2
- 1
Hahahah!! Kaz kwel kwel
Dah yaelekea huyu polisi aipenda kazi yake
kweli kabisa ila akimpata huyo mwanamke anayemshushia hiyo mistari kazi haitapendwa tena... tatizo lao akikupenda hivyo ukileta mawenge anavaa mabomu mnalipuka wote
Mbona hajasema 'nitakulinda dhidi ya kitu kinachosadikika kuwa kizito chenye ncha kali kitakachorushwa kutoka upande usiojulikana'?
mmmmh wifi umebadilikajeeeee!!!!!!!!!!! hadi nimekusahau!! khaaaaa nimekumic!!!my wifi mzima? Umeadimika.
Unajua nakuthamini zaidi ya POSHO NA MSHAHARA bila wewe siwezi kuishi ni sawa nakukosa BUNDUKI eneo la tukio nitakuheshimu kama LINDO wewe ni IGP wa moyo wangu daima nitakuweka mbele kama CROWN ya kofia mbona kimya nijibu basi nipate kufungua JALADA NDANI YA MOYO wako usinifanye moyo ukaenda mbio kama DEFENDER MPYA nitakuwekea usalama kama msafara wa RAIS nina RB ya penzi lako mpenz wangu usiniweke roho juu kama MAANDAMANO YA CHADEMA. :eyebrows:
Mbona hajasema 'nitakulinda dhidi ya kitu kinachosadikika kuwa kizito chenye ncha kali kitakachorushwa kutoka upande usiojulikana'?