Mwanamke alitaka gari automatic ila akanunua manual, afu baada ya kukaa nalo kuanzia huo muda wote kaamua kuliuza kisa ni manual tena? Mkiweka maneno mengi mnatia walakini biashara zenu, sema unauza gari ... Weka picha za kutosha ... Weka Bei Kaa kwa kutulia...
Haya mambo sijui gari la mwanamke achana nayo