Kwa nn mkuuMtafteni padri mmuuzie😂
Zinaendeshwa sana na mapadri hizi gari huko kaskaziniKwa nn mkuu
Nimepunguza mpaka 4.9 million. Mwenye Nia anipigie simu.Ukisikia ndinga, ndiyo hii sasa!
Ushauri; bei ipunguzwe walau mpaka mil.3.5 hivi, ili gari iuzike mapema.