Suzuki virata mannual inauzwa haraka

Suzuki virata mannual inauzwa haraka

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,198
Reaction score
11,631
Suzuki vitara inauzwa bei yake 4.5m kwa mawasiliano pm
 

Attachments

  • 20140711-0002.jpg
    20140711-0002.jpg
    287.8 KB · Views: 367
  • 20140711-0004.jpg
    20140711-0004.jpg
    277.5 KB · Views: 305
  • 20140711-0005.jpg
    20140711-0005.jpg
    249.6 KB · Views: 267
  • 20140711-0006.jpg
    20140711-0006.jpg
    283 KB · Views: 261
Hebu badilisha hiyo heading. Hiyo Suzuki Virata ndio kitu gani ndugu. Umepost kwa haraka?


Tiba
 
mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli
 
mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli

iko bagamoyo
 
mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli

Wachaga na vitu vya bei rahisi utawaua.
 
Wachaga na vitu vya bei rahisi utawaua.
mkuu sio bei rahisi hizi gari zinadumu sana wewe nenda barabara ya morogoro jioni au asubuhi then angalia watu wanaoendesha hayo magari asilimia kubwa ni mangi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom