mmasai halisi
Member
- Apr 9, 2014
- 55
- 12
habari wana jukwaa, nina kagari nakauza Suzuki Omni rangi nyeupe ya 2010 ina km 52,000 engine iko safi na haichemshi. Bei 7m kama unahitaji nipm. Picha nitaweka bado cjajua jinsi ya kuziapload.
habari wana jukwaa, nina kagari nakauza suzuki omni rangi nyeupe ya 2010 ina km 52,000 engine iko safi na haichemshi. Bei 7m kama unahitaji nipm. Picha nitaweka bado cjajua jinsi ya kuziapload.