ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
Kwamba hyo Gari ipo juu kibei coz ya ulaji wa mafuta mdogo?...Soma nilichokiandika mkuu unaweza kuelewa.
Ok JP wanaviuza ngap? Ebu ingia BE FORWARD... Uone bei...
Halaf et bila million kumi hukipati? Acha uongo we we.... Tafuta machiz wenzako wauzie