Suzuki jimny

Suzuki jimny

hivi ipi bora zaidi kati ya toyota harrier na toyota rav 4 kwa uimara, comfortability, fuel consumption na mengineyo
 
hivi ipi bora zaidi kati ya toyota harrier na toyota rav 4 kwa uimara, comfortability, fuel consumption na mengineyo
inategemea na edition, maana rav 4 ZIKO kama matoleo manne hivi na harrier vile vile! but generally rav 4 in consumption inaipita harrier maana nyingi engine zake ni ndogo! arrouand 2000cc ..comfortability..harrier ziko comfirtable zaidi...
 
Mkuu kwa hapo itabidi ununue pikipiki mkuu wa idara
Teh teh...Terrios zina cc 650 zitanifaa.Nimekaa na Spacio miaka miwili sasa nadhani nishuke chini tena halafu nitarudi baadae nikishakamilisha mambo mengine muhimu zaidi.
Pikipiki ni balaa kiongozi.
 
hivi hizi xtrain mbona cheap sana hadi naziogopa..zina shida yeyote

na pia rav4 nasikia engane zake zimetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu na.mafundi wetu hapa uwa wanaishia zialibu tuu
 
Back
Top Bottom