Suzuki Grand Vitara for quick sale

ben van mike

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
467
190
Suzuki grand vitara for sale , 2500 cc , manual ,cd player, has done 94000 miles , gari ni ya mwaka 1999 ,ilikuwa imported toka UK last year ( july ) so imetumika miezi 10 tu hapa Tanzania , very clean vehicle , imelipiwa ushuru wote ,gari lipo DAR ,picha zipo kwenye attachment

bei :13.5 million maelewano yapo au mwenye gari ndogo we can part exchange , reason for sale : natafuta gari ndogo

kuliona please call me kwenye hii namba 0754279959 au ni PM SHUKRANI

suzuki.3.jpg

suzuki.4.jpg

suzuki.2.jpg

suzuki.jpg
 
Mkuu si kwamba limeanza kukusumbua? Nijuavyo siku hivi Dar es salaam....watu wengi wanaangalia economic car..........

Mkuu haya magari yako poa coz liko na nguvu sana tatizo ni upande wa wese manake gari za cylinder sita kwenye foleni sio mchezo, lazima gauge ya mafuta isiwe mbali sana na ilipo herufi F
 
wakati uananuanua ulikuwa fisadi? au mfereji umezibwa mamabo ya CAG! pole mkuu ila uasihofu uatapata mnunuzu urudi knye bajaji ( vits, swift, mach mach, nk)
 
hahahaha umenichekesha sana sikuwa fisadi mkuu hali tu imebadilika kuna kupanda na kushuka uwezi jua may be in 5 years nitarudi humu kutafuta vx
 
Suzuki grand vitara for sale , 2500 cc , manual ,cd player, has done 94000 miles , gari ni ya mwaka 1999 ,ilikuwa imported toka UK last year ( july ) so imetumika miezi 10 tu hapa Tanzania , very clean vehicle , imelipiwa ushuru wote ,gari lipo DAR ,picha zipo kwenye attachment

bei :13.5 million maelewano yapo au mwenye gari ndogo we can part exchange , reason for sale : natafuta gari ndogo

kuliona please call me kwenye hii namba 0754279959 au ni PM SHUKRANI

Ni gari nzuri inaonekana, hebu tutafute hela.............
 
Back
Top Bottom