Kanavumilia sana shida haka kagari hata 4wd yake ni kali balaa!, kwa mazingira magumu ambako barabara hazieleweki au show za shamba hapa ndo mahala pake kabisa.