murano is nicer, elegant, superb , dignified and hungry like monster.if you are a big boy , go for it.
escudo, easy life, peace on the road, simple to maintain and more govermental official
Duh hapo pagumu, escudo ni brand ya zamani na inajulikana kwa ubora..napenda tairi ya spea kuwa nyuma
murano is the king of the lord!
Wakuu naomba kwa upendo kabisa mnipe maoni yenu. Kati ya hizi gari mbili ipi ni zaidi?
1
2
Ninataka nianze 2015 kwa kutembea nimekaa please nipeni ushauri kwa jinsi mnavyozijua , ubora na uzuri wa muonekano.
Natanguliza shukrani
Well said broda..would recommend TD54W and not V6 model TD94W
Xidian do u mean Road?Murano is the king of the lord!
Asanteni woote, nitaleta feedback mara baada ya kukamilisha