hee jamani watafuta gari upande huu
si ungeweka tangazo lako kwenye kkona ile kule bestito?
haya mwenye nalo atakupm ondoa hofu kwani wengine
hatutumii ungesema Verossa ningekuuzia langu la gift.
Mtafute Mentor alikuwa anamtafuta mteja wa verosa carry yake.
Asprin kazidi kuwa mweus cku hizi ndo maana haonekaniMambo yakoje. huonekani.