Suzuki carry inahitajika

Suzuki carry inahitajika

yantuzu

Senior Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
115
Reaction score
16
Habari wana JF.
Nahitaji Suzuki Carry yeyote kwa wale wanashughulika na uagizaji wa magari (wenye yards) iwe imetengenezwa kati ya 2000 - 2005, na imetembea km 30,000 - km 70,000. Kam unayo tafadhali naomba tuwasiliane, bei tutazungumza.
 
Back
Top Bottom