SUV gani nzuri kwa Milioni 40?

Ni nusu umeme kwa hiyo mda mwingi kama unaendesha mjini pasipokuwa na uhitaji wa speed ya ziada hapo ni Umeme unatumika na unaokoa mafuta kwa kiasi kikubwa
Battery yake ikiharibika au kupoteza capacity inakuaje ? Maana bongo gari zinazonunuliwa unakuta imekata km za kutosha lazima battery iwe imepunguza life time yake
 
Battery yake ikiharibika au kupoteza capacity inakuaje ? Maana bongo gari zinazonunuliwa unakuta imekata km za kutosha lazima battery iwe imepunguza life time yake

Kweli mkuu
Ila kwa bongo bado sana kwa hybrid cars na inahitaji wataalamu na spare zake pia ila tutafika tu na inawezekana zipo
 
Kweli mkuu
Ila kwa bongo bado sana kwa hybrid cars na inahitaji wataalamu na spare zake pia ila tutafika tu na inawezekana zipo
Kwa bongo hybrid cars tukipata mafundi wanaoziwezea na gharama za kubadilisha betri ikiwa si kubwa naamini itakuwa ni kimbilio la wengi
 
Volvo XC90 ina 2500 cc ulaji wa mafuta unakuwaje mdogo?
Volvo XC90 toleo la kwanza (2002-2014) lina engine sizes tofauti tofauti. Kuanzia 2.4 hadi 4.4 - 5, 6 na 8 cylinders. Toleo la pili (2014-) lina engine size ya 2.0 pekee - 4 cylinders.

Unaiongelea ipi sasa?
 
Back
Top Bottom