Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Ni nzuri sana,ingawa haipo flexible!ni vigumu sana kuiweka kwenye begi!Hii ni chiboko
Mkuu hiyo suti ilikuwa flexible kiasi kwamba ni raisi kuiweka kwenye begi?Kuna suti niliiona ya mifuko ya unga wa ngano wa azam.. aisee duniani kuna mambo
Mkuu weka picha ya style ya mpoto ili tuilinganishe na hii ya huyu jamaa!!
!
mpoto style.
Mkuu weka picha tujifunze,maana elimu haina mwisho!Mkwe unajua mikoba ya ukili?
Hili ndilo giza nene!Zinauzwa wapi:what:
Mkuu lazima itakuwa ni biashara tu,maana fedha ni kila kitu katika dunia ya leo!na hyo mikoba anauzaa....au ndo mmechisho?