Suti ya harusi

kikwakwa

kikwakwa

Senior Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
105
Likes
0
Points
0
kikwakwa

kikwakwa

Senior Member
Joined Dec 20, 2011
105 0 0
Wana jfm habari!kwa wenye ufahamu ni wapi ntapata suti nzuri kwaajili ya harusi kwa hapa dar,naomba nifahamishwe.
 
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2009
Messages
2,555
Likes
10
Points
135
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2009
2,555 10 135
Nenda Mariedo mkuu.
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
8
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 8 145
Kwanza unataka suti ya aina gani...1 Button, 2 Button, Vested, Peak Lapel au Tuxedo...au unataka suti ili mradi iwe suti tu.
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Likes
241
Points
160
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 241 160
kwanza unataka suti ya aina gani...1 button, 2 button, vested, peak lapel au tuxedo...au unataka suti ili mradi iwe suti tu.
mpe zile skin.hapa aminia utampa vitu vya uhakika sipati picha
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
47
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 47 145
Wana jfm habari!kwa wenye ufahamu ni wapi ntapata suti nzuri kwaajili ya harusi kwa hapa dar,naomba nifahamishwe.

Unataka ya kushona au ready made? Na rangi gani? Naweza kukuazima ya kwangu!!!
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
8
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 8 145
mpe zile skin.hapa aminia utampa vitu vya uhakika sipati picha
Zile atapata kwa sana tu ila asije na 150,000 au 250,000 kama atakuwa anataka hizo ila itabidi apige picha nione mwili wake kwanza
 
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Messages
6,818
Likes
3,882
Points
280
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2009
6,818 3,882 280
Kwanza unataka suti ya aina gani...1 Button, 2 Button, Vested, Peak Lapel au Tuxedo...au unataka suti ili mradi iwe suti tu.
Mkuu The Finest msaada, ipi kare hapo? maana wengine hatujawahi vaa suti, ila hivi karibuni kuna kamnuso nimealikwa na kutakuwa na totoz za ukweli, nataka nitimbe kijentomeni.
 
Last edited by a moderator:
mkonowapaka

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
1,499
Likes
99
Points
145
mkonowapaka

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
1,499 99 145

How to Wear It
(1) Go for the Lean Look
Your shirt and tie should follow the streamlined proportions of your suit, so stick with small collars and trim neckwear.
(2) Don't Overlook Your Belt
Even when closed, a one-button jacket will expose your waist. A skinny belt with a simple buckle is all you need.
Suit ($1,095) and shirt ($275) by D&G. Tie ($150) by YSL. Pocket Square ($115) by Brunello Cucinelli. Belt ($830) and shoes ($1,320) by Tom Ford.

tajibeba
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
8
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 8 145
Mkuu The Finest msaada, ipi kare hapo? maana wengine hatujawahi vaa suti, ila hivi karibuni kuna kamnuso nimealikwa na kutakuwa na totoz za ukweli, nataka nitimbe kijentomeni.
Mbimbinho inategemea na mwili wako na occasion yenyewe lakini single button au 2 button suit mtu unatoka bomba kama hiyo aliyoweka mkonowapaka
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,402
Likes
50,135
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,402 50,135 280

How to Wear It
(1) Go for the Lean Look
Your shirt and tie should follow the streamlined proportions of your suit, so stick with small collars and trim neckwear.
(2) Don't Overlook Your Belt
Even when closed, a one-button jacket will expose your waist. A skinny belt with a simple buckle is all you need.
Suit ($1,095) and shirt ($275) by D&G. Tie ($150) by YSL. Pocket Square ($115) by Brunello Cucinelli. Belt ($830) and shoes ($1,320) by Tom Ford.

tajibeba
Tom Ford is da bizness.
 
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Messages
4,821
Likes
1,048
Points
280
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2010
4,821 1,048 280
sema una bajeti ya sh ngapi kwaajili ya suti ? ni suti ya kuvalia wapi ili tujue tunakusaidiaje ?
 
Rose1980

Rose1980

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
5,701
Likes
33
Points
0
Rose1980

Rose1980

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
5,701 33 0
mhh njoo nikuonyeshe duka uku tandalae
 
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Messages
3,536
Likes
2,069
Points
280
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2008
3,536 2,069 280
hapa kwenye masuala ya suti ndo shughuli huanzia...maana haya mavazi ya utamaduni wa kuazima kaaazi kweikwei...mara suti kwa ajili ya office mara dinner suit sijui ndio inaitwa tuxedo???...arghhhh...mie sijui bwana KAMA KUNA MWALIMU WA MAVAZI ATOE LECTURE YA HIZI SUTI KWETU WASWAHILI UJANJA USHAISHA tunayakoroga tuuu hakuna tunachokielewa.
 
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Messages
6,818
Likes
3,882
Points
280
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2009
6,818 3,882 280
Mbimbinho inategemea na mwili wako na occasion yenyewe lakini single button au 2 button suit mtu unatoka bomba kama hiyo aliyoweka mkonowapaka
The Finest yeah nataka kama hiyo ya mkono wa paka asee..., yaani inakamata mwili, sio zile kubwa kama za madiwani au akina Komba..:smile:
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,273,063
Members 490,259
Posts 30,469,410