Suti ya Diamond Platinumz

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,633
Reaction score
6,229
Baada ya kuvaa kijeshi, iliandikwa kuwa alipata kasheshe kidogo.....

 
Ningelishauri siku nyingine atinge na hii suti...............

 
Hivi hata hii JWTZ wanaweza kudai ni SUTI yao? Maana sijui hadi leo sheria inasemaje... Nyani Ngabu

 
Last edited by a moderator:
Aendelee kuvaa alafu ye c rais wa wasafi kwann anavaa ambazo huwa zinapigiwa mazoez muda mwingine.
 
Hapo nakubaliana na wewe maana wasafi na hayo magwanda, hawakuwa wasafi tena.

Ila ndani ya suti ya kijesi, watakuwa wasafi kwelikweli. Ngoja tusubiri tuone.

Aendelee kuvaa alafu ye c rais wa wasafi kwann anavaa ambazo huwa zinapigiwa mazoez muda mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…