Suti kali

Duh kashonea kitambaa cha pazia tena pazia za kichina ila mazingira yanavyoonekana hapo alipo anaonekana mjanja yeye.
 
Hahahaha hiyo kitambaa ni kutoka italy
 
Waweza kuta kagharamia Pesa chungu mzima
 
Najua kabila la huyu bwana. Ila mmmh sina M 7
 
Mabega yake hayajapishana sana na curtain box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…