Suti iliyozusha mjadala


Uko sawa mkuu.
 
U-handsome unatusaidia nini sisi. Wakati mwingine huwa naona kichefuchefu kusoma habari zonazohusu u-handsome wa mkwerre. Watanzania tunaendekeza mambo hata yasiyo na mbele wala nyuma. Kama ni uzuri wa sura inatufaidia nini sisi!! Ptuuuuuu!!!!"

Si heri hata angekuwa handsome kweli!
 
Suti imempendeza Kiongozi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…