Susuviri and MTM quoted by ThisDay - our voices are heard! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Susuviri and MTM quoted by ThisDay - our voices are heard!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Susuviri, Mar 15, 2009.

 1. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Naomba niwasilishe hoja ya kuwa Jamiiforums imekuwa sasa part of mainstream media na kumbe matusi tunayotukanwa na new members wanaokuja na lengo la kupamba administration ya JK ni kutokana na kuonekana kutoa hoja za nguvu, naomba niwasilishe article ya This Day ya March 12, 2009,
  Nyani my friend, nilitegemea waku-quote pia pamoja na slogan yako "Miafrika Ndivyo Tulivyo"
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  So ,congratulations to all JF members i am happy with that .hope one day we will have the space on their news papers just by the name ".... From JamiiForums...."
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mtu mwenye akili hawezi kutukana maoni ya wanaJF, ukiona anatukana, ujue kuwa ana lake jambo
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Mar 15, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Well..labda ipo siku wataninukuu na mimi but I doubt it. That's too much truth for them to handle.....

  Otherwise, big ups man.
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  hahaha NN umeniacha hoi...u think hawawezi 'kukubali' kuwa ndo tulivo au tu hawakubaliani na ww?


  On a separate note,, hongera Susuviri (angalia tu wasikutoe huko uliko sijui umeingie kwenye sukari au kwen mchuzi wao uliopikwa vizuri) na MTM
   
Loading...