Surveyor wa Tanesco Morogoro sijamuelewa

Exaud Minja

Senior Member
Joined
Mar 13, 2009
Posts
100
Reaction score
13
Nimefanikiwa kujenga Apartment chumba, sebule na jiko, self contained nikaomba kuunganishiwa umeme online na contractor akaingiza mchoro online, surveyor kaja kukagua akasema apartment yangu ni ndogo siwezi kupata umeme. Sasa nashindwa kuelewa apartment kuwa ndogo ndio kukosa sifa ya kupata line yake ya umeme ya kujitegemea?
 
RUSHWA.......jaribu kumuelewa namna hiyo uone kama hujauliza ...nyumba nyingine iko wapi tukuhudumie ..... 😎 😎 ...hii nchi shida sana.......
 
Nimefanikiwa kujenga Apartment chumba, sebule na jiko, self contained nikaomba kuunganishiwa umeme online na contractor akaingiza mchoro online, surveyor kaja kukagua akasema apartment yangu ni ndogo siwezi kupata umeme. Sasa nashindwa kuelewa apartment kuwa ndogo ndio kukosa sifa ya kupata line yake ya umeme ya kujitegemea?
Jirani yangu kapewa umeme uliopitia site yangu ,na mimi ndo nililipia wa kwanza
jirani anadai katoa chochote
 
Kibaha surveyor akija hakikisha unampa 30,000. Hata contractor atakubembeleza umpe ili Mambo yaende. Vingivyo atakuharibia.
Surveyor yoyote wa Kibaha apinge Kama hii sio modus oparendi yenu.
 
mimi ilala nimeomba mita 3 za kwenye fremu lakini survey kaja kaona kaniambia tutakupa moja kwanza hiyo moja nimepewa mwezi 10 /2021 wakati bei elfu 27 hizo meter 2 mpaka leo kagoma kunipa
 
Ungempa chochote pia ungeziandikia majina tofauti
 
Nimefanikiwa kujenga Apartment chumba, sebule na jiko, self contained nikaomba kuunganishiwa umeme online na contractor akaingiza mchoro online, surveyor kaja kukagua akasema apartment yangu ni ndogo siwezi kupata umeme. Sasa nashindwa kuelewa apartment kuwa ndogo ndio kukosa sifa ya kupata line yake ya umeme ya kujitegemea?
Usiteseke, usiumie tupo kukusikiliza, tafadhali onesha namba yako ya ombi au namba ya simu kutupatie majibu sahihi ya nini kilichojiri

Ni ukweli kuwa sio kila anayeomba mita zaidi ya moja kwenye eneo moja anaweza kupatiwa tunaangalia kiasi cha matumizi ( load) ambacho kikionekana kipo chini sana maana yake bado mita moja inaweza kukidhi takwa lako

Tupo kukusikiliza na kuelimisha zaidi
 
meneja mkuu nilimuandikia akakubali nipewe mita 3 yeye akagoma bila meneja kujua ila sijaenda kumshughulikia maana ilivyopanda bei sikuenda tena.
Kwani meneja ndio anatoa mita? Ulichotakiwa kufanya ni eneo liwe surveyed kwanza upiganie kupata control number za kulipia mita zote
 
Nimefanikiwa kujenga Apartment chumba, sebule na jiko, self contained nikaomba kuunganishiwa umeme online na contractor akaingiza mchoro online, surveyor kaja kukagua akasema apartment yangu ni ndogo siwezi kupata umeme. Sasa nashindwa kuelewa apartment kuwa ndogo ndio kukosa sifa ya kupata line yake ya umeme ya kujitegemea?
Apartment ya chumba, jiko na sebule? Hamna aparment ya hivyo mkuu. Huenda surveyor ameona umedanganya na unataka kumuingiza matatizoni.
 
Ndugu Mteja Ombi lako la kuunganishiwa umeme limepokelewa, Namba ya ombi U140622-27801 limewasilishwa ofisi ya TANESCO. Tutawasiliana na wewe kwaajili ya kukamilisha baadhi ya taarifa.
 
Usiteseke, usiumie tupo kukusikiliza, tafadhali onesha namba yako ya ombi au namba ya simu kutupatie majibu sahihi ya nini kilichojiri

Ni ukweli kuwa sio kila anayeomba mita zaidi ya moja kwenye eneo moja anaweza kupatiwa tunaangalia kiasi cha matumizi ( load) ambacho kikionekana kipo chini sana maana yake bado mita moja inaweza kukidhi takwa lako

Tupo kukusikiliza na kuelimisha zaidi
Ndugu Mteja Ombi lako la kuunganishiwa umeme limepokelewa, Namba ya ombi U140622-27801 limewasilishwa ofisi ya TANESCO. Tutawasiliana na wewe kwaajili ya kukamilisha baadhi ya taarifa.
 
Usiteseke, usiumie tupo kukusikiliza, tafadhali onesha namba yako ya ombi au namba ya simu kutupatie majibu sahihi ya nini kilichojiri

Ni ukweli kuwa sio kila anayeomba mita zaidi ya moja kwenye eneo moja anaweza kupatiwa tunaangalia kiasi cha matumizi ( load) ambacho kikionekana kipo chini sana maana yake bado mita moja inaweza kukidhi takwa lako

Tupo kukusikiliza na kuelimisha zaidi
Hii huduma ya online nimeipenda,
Naweza nkapewa details nifanye maombi na mm?
 
Apartment ya chumba, jiko na sebule? Hamna aparment ya hivyo mkuu. Huenda surveyor ameona umedanganya na unataka kumuingiza matatizoni.
Mbona wanaunganisha umeme kwenye frem hata 20 kwenye nyumba Moja na kila Moja na Mita yake?
 
Mie naongelea kuhusu aparment kuwa ya chumba na sebule... Hiyo siyo aparment. Angesema tu nyumba
Kwenye kuomba umeme hakuna sehemu inayouliza kama ni nyumba, frem, store, machine wala chochote, ndio maana surveyor alipita.
 
Sasa ametaja apartment akimaanisha nini... Tena na idadi ya vyumba
 
Back
Top Bottom